Muigizaji huyo na mmoja wa watayarishaji wa filamu ya Vin Diesel alijipatia umaarufu katika filamu mbalimbali ikiwemo ile inayoitwa fast and furious ambayo inapendwa na watu wengi duniani.
Alitangaza kuwa kutakuwa na toleo la filamu ya Fast and furious x ambayo itakuwa na sehemu
Filamu hii inakuja baada ya kutolewa kwa mara ya mwisho fast and furious 9 ambayo ilitolewa tarehe 25/6/2021
Fast and Furious X ilichukua dola milioni 340
Imepangwa kwenda nje ya nchi tarehe 19/05/2023
Filamu hiyo iliongozwa na Louis Leterrier na kutayarishwa na Vin Diesel, Justin Lin, Samantha Vicent, Jeff Kirschenbaum, Neal H. Moritz.
Itasambazwa na picha za Universal